Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa huduma za Maabara Dkt. Mathius Katura akifafanua jambo baada ya kufungua kikao cha Waratibu wa Maabara binafsi wa mikoa, kilichofanyika Mkoani Morogoro.
&nbs...Read more »
Maabara ya kisasa ya upasuaji wa ubongo (Ango-Suite) katika Taasisi ya Mifupa (MOI) Maabara hii itaiwezesha taasisi kufanya upasuaji wa matatizo ya mishipa ya damu kichwani pasipo kulazimika kufungua...Read more »
Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi akisema jambo kwa wazalishaji wa dawa asilia (hawapo pichani) kwenye kikao kilichowakutanisha wazalishaji wa dawa asilia na watendaji kujadili namna bora ya ...Read more »
Dkt. Dorothy Gwajima
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Na. WAMJW-Kahama
Serikali imeweka mikakati ya kuwabaini na kuwachukulia hatua za kisheria na kitaaluma ki...Read more »
Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi akielezea tukio la askari wa ulinzi (SUMA-JKT) aliyetuhumiwa kumpiga ndugu wa mgonjwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.
SER...Read more »
Naibu Waziri Dkt. Godwin Mollel akiongea wakati wa mahafali ya wahitimu wa famasia wanaoingia kwenye taaluma,mahafali hayo yamefanyika kwenye Jijini Dodoma.
Msajili wa Baraza la Famasi E...Read more »