Na. Catherine Sungura, WAMJW-Dodoma
Serikali imeweza kujibu changamoto za kuwahudumia wananchi kwa kuimarisha huduma za afya ya dharura kwa kusimika mitambo ya kufua&n...Read more »
Prof. Abek Makubi Katibu Mkuu Wizara ya Afya
Na. WAMJW - Dodoma.
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeanza kutekeleza kwa kasi maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Mu...Read more »
Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa huduma za Maabara Dkt. Mathius Katura akifafanua jambo baada ya kufungua kikao cha Waratibu wa Maabara binafsi wa mikoa, kilichofanyika Mkoani Morogoro.
&nbs...Read more »
Maabara ya kisasa ya upasuaji wa ubongo (Ango-Suite) katika Taasisi ya Mifupa (MOI) Maabara hii itaiwezesha taasisi kufanya upasuaji wa matatizo ya mishipa ya damu kichwani pasipo kulazimika kufungua...Read more »
Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi akisema jambo kwa wazalishaji wa dawa asilia (hawapo pichani) kwenye kikao kilichowakutanisha wazalishaji wa dawa asilia na watendaji kujadili namna bora ya ...Read more »
Dkt. Dorothy Gwajima
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Na. WAMJW-Kahama
Serikali imeweka mikakati ya kuwabaini na kuwachukulia hatua za kisheria na kitaaluma ki...Read more »
Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi akielezea tukio la askari wa ulinzi (SUMA-JKT) aliyetuhumiwa kumpiga ndugu wa mgonjwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.
SER...Read more »
Naibu Waziri Dkt. Godwin Mollel akiongea wakati wa mahafali ya wahitimu wa famasia wanaoingia kwenye taaluma,mahafali hayo yamefanyika kwenye Jijini Dodoma.
Msajili wa Baraza la Famasi E...Read more »
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Gwajima akiongea wakati wa kikao kazi hicho ambapo aliwataka viongozi hao kutekeleza ipasavyo Ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020 ya ...Read more »
Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi akieleza jambo mara baada ya kufanya kikao na Viongozi wakuu wa sekta ya afya kwa njia ya mtandao"ZOOM" kilichowajumuisha Waganga wakuu...Read more »
Mwakilishi wa Katibu Mkuu,Wizara ya Afya na Mkurugenzi Msaidizi wa Tiba Asili/Mbadala Dkt. Paul Mhame akifungua kikao kazi cha usambazaji wa miongozo inayosimamia huduma za tiba kwa Waganga Wak...Read more »
Msajili wa Baraza la Famasi Bi. Elizabeth Shekalaghe akisisitiza jambo wakati akiongea na afisa habari wa Wizara ya Afya,ofisini kwake jijini Dodoma.
WAFAMASI WAKUMBUSHWA KUHUISHA...Read more »
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima akisisitiza jambo wakati wa kikao kazi cha kujadili hali ya utoaji huduma za afya nchini ambacho kimewakutanisha Wakuru...Read more »